''Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nimekukataa wewe usiwe kuhani wangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, nami nitawasahau watoto wako.'' Hosea 4:6.